USHAURI KWA FORM SIX WALIOMALIZA 2017,WALIOSOMA MICHEPUO/COMBINATION ZA CBG,PCB,HKL,PCM,PGM,HGE,HGK,HGL,ECA,CBN KUHUSU KOZI NZURI ZA KUSOMEA CHUO KIKUU 2017/2018
MUONGOZO kwa Tahasusi ya CBG CBG & CBA na diploma zinazo relate na Tahasusi hii
ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENYE TAHASUSI YA PCB NB:Kwa MD baadhi ya vyuo Hawatakua na Vigezo vya kudahiliwa bcoz wanaconsider na physics A level
MUONGOZO kwa Tahasusi ya PGM na kozi za diploma zinazo relate nayo
ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENY TAHASUSI YA PCM Pia kozi zengine ni Kama Aircraft Maintenance Engineering but Ada yake Iko juu sana
MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi Ya EGM & HGE Na diploma zinazo relate na Tahasusi hii
Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
Bsc. Building Econmics
Bsc. Actuarialscience
Bsc. Irrigation & Water res Eng, Agricultural Eng (O level Science)
Bsc. Architecture
Bsc. Geomatics
B. A Economics & Statistics
Bsc. Computer science , Bsc ICT
B.A land management & Valuation
B. A Economics
B. A Accounting & Finance
Bsc. With Education
MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya ECA na diploma zinazo relate nazo
Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
B. A accounting & Finance
B Business Administrator ( Accounting & Finance)
B Banking&Finance, B Economics & Finance, B Procurement & Logistic Supply/Mgt
B. A with Education
MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi za HGL, HGK & HKL na diploma zinazo relate na hii Tahasusi
LL. B (B. Law)
B. Land management & Valuation
B. A Human resource management
All kozi relate with community development & Planning
B. A with Education
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527
0 Comments